Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards Kupitia Instagr...

Diamond, Wema na Aunty Ezekiel safarini South Africa kwenye tuzo za MTV Africa Music Awards

Kupitia Instagram yake Diamond ameandika:
"Asante sana @fastjetofficial kwa
 kunisafirisha mimi, Familia yangu na team yangu nzima kuelekea kwenye 
Tuzo za MTV Awards Nchini South Africa.. hakika nyinyi ni Mfano Bora.. 
Kama Hauna Taarifa bado, Kampuni ya Fast jest sasa imeanzisha huduma 
mpya ya kutoka Tanzania hadi South Africa... kwa maelezo zaidi follow 
Account yao Hii @fastjetofficial @fastjetofficial"
All the best Diamond Platnumz