Archive Pages Design$type=blogging

Kenyan Actor, aliefanya FILM ya IDI AMIN ‘Joseph Olita’ afariki Dunia.

Veteran Kenyan actor ‘Joseph Olita’ aliyejulikana sana toka kwenye filamu ya ‘Rise and Fall of Idi Amin’ amefariki dunia. Olita amef...

josep
Veteran Kenyan actor ‘Joseph Olita’ aliyejulikana sana toka kwenye filamu ya ‘Rise and Fall of Idi Amin’ amefariki dunia. Olita amefariki baada ya kupandwa na pressure (BP) wakati akiwa kijiji cha ‘Pap Oriang’ katika wilaya ya ‘Siaya’ nchini humo. Ndugu za marehemu wamesema Joseph alikuwa anasumbuliwa sana na “Blood Pressure (BP)” na ilianza kumpanda jumapili usiku isivyo kawaida mpaka kusababisha kifo chake.
Olita alikuwa ametoka kwenye mazishi ya mama yake mzazi jumamosi kabla ya kifo kumgeukia yeye. Mwili wa Olita umepekwa hospitali ya ‘Bama’ kwenye mortuary ili kusubiria mipango ya mazishi. Olita ameacha mke, watoto na wajukuu.
Joseph Olita alizaliwa 1944 na alikuwa maarufu sana baada ya kuigiza filamu ya dictator wa Uganda ‘Iddi Amin Dada’ katika filamu maarufu sana “Rise and Fall of Iddi Amin” iliyotoka mnamo mwaka 1981. Kwenye filamu ya ‘Mississipi Masala’ mwaka 1991 na filamu nyingine kama “Sheena” na nyinginezo nyingi.

josep

idiAmin_1614124c

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Kenyan Actor, aliefanya FILM ya IDI AMIN ‘Joseph Olita’ afariki Dunia.
Kenyan Actor, aliefanya FILM ya IDI AMIN ‘Joseph Olita’ afariki Dunia.
http://www.gongamx.com/wp-content/uploads/2014/06/josep.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/kenyan-actor-aliefanya-film-ya-idi-amin.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/kenyan-actor-aliefanya-film-ya-idi-amin.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago