post-feature-image
HomeBurudaniMajuu

Kuhusu alichoandika Lulu kumpata Justin Bieber - Kila kitu kipo Hapa

Pamoja na watu wengi kumuona Elizabeth Michael aka Lulu kama mtu anayeota ndoto za mchana kutokana na imani yake kuwa siku moja anaweza ...

UNICEF Tanzania watoa VIDEO ft. AY na FARAJA Kota #EndViolenceAgainstChildren
Inasadikika ‘Christina Millian’ na ‘Lil’ Wayne’ kuwa na Mahusiano.
Ariana Grande ft Iggy Azalea || “Problem” (Official Video)
Pamoja na watu wengi kumuona Elizabeth Michael aka Lulu kama mtu anayeota ndoto za mchana kutokana na imani yake kuwa siku moja anaweza kuwa Mrs Justin Bieber, ameamua kutoa ufafanuzi na kusisitiza kuwa yupo ‘serious’ na hatokataa tamaa.
“Haya ni hivi wale wa kuandika ndoto za nini cjui…Mara cjui huwezi kumpata na cjui kimepanda kimeshuka…msinijazie comment acha niwape ufafanuzi kdgo,” ameandika muigizaji huyo kwenye Instagram.
“Hivi huyu bwana swala ya yeye kupenda….nimemwachia awapende kina @selenagomez na wengine wote anaotaka kuwapenda…ila swala la yeye kupendwa aniachie mimi….yan hiyo kazi yangu….!!!Sasa Kama ni ndoto Wallah ctaki kuamka,Kama ni ufala…yani ninaukubali kwa asilimia 150%,na mengine mengine yote…sasa Kama nakuchefua,Nina uhakika Zile ndimu za @diamondplatnumz haziwezi kukutosha mana hiki kichefuchefu co cha kuisha,bora utafute mbegu ya Malimao au mbilimbi upande kwako kbsa….Na hili Zoezi ni endelevu…yani kila Jumatatu…Kama Mshahara vile.”
Coll-Justin-Bieber-2013-Wallpaper-HD-Free.png
Unahisi kuna uwezekano ndoto za Lulu kumpata Bieber zinaweza kutimia siku moja?
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Kuhusu alichoandika Lulu kumpata Justin Bieber - Kila kitu kipo Hapa
Kuhusu alichoandika Lulu kumpata Justin Bieber - Kila kitu kipo Hapa
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/08/Elizabeth-Michael-aka-Lulu.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/kuhusu-alichoandika-lulu-kumpata-justin.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/kuhusu-alichoandika-lulu-kumpata-justin.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago