Rapper Lil Wayne ambae ametikisa game la muziki wa hip hop duniani kwa miaka zaidi ya kumi sasa hivi karibuni imeripotiwa kuwa na ma...
Msanii ‘Lil Wayne’ amekuwa akijihusisha kimapenzi na mwanadada huyo zaidi miaka miwili iliyopita, Christina na Wayne wamekuwa katika mahusiano yakimapenzi miaka tano iliyopita ambayo wamekuwa wanarudiana na kuachana. inasemekana kuwa msanii ‘Lil Wayne’ alimsaidia kuingia kwenye kundi la ‘Young Money’ na Christina amekuwa akipata pesa nyingi na zaidi. vile vile hivi karibuni msanii huyo wa kike ameonekana akiwa Club mjini MIAMI bila kuwa na pete hiyo ya uchumba.