Archive Pages Design$type=blogging

NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA

Vicky Paschal Kamata. ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa...

Vicky Paschal Kamata.
ILE ndoa inayodaiwa ikifungwa harusi yake itatafuna shilingi milioni 96 kati ya Mbunge wa Viti Maalum Geita kwa tiketi ya CCM, Vicky Paschal Kamata na mwanaume aliyejulikana kwa jina la Charles iko katika hatihati ya kufungwa kutokana na kuibuka kwa mizengwe.

Habari za ndani zinadai kuwa mizengwe iliyoibuka katika hatua za mwisho zimemfanya mwanaume huyo kuamua kubatilisha ndoa ambayo ilikuwa ifungwe Mei 24, mwaka huu jijini Dar es Salaam.
“Kuna mizengwe mingi sana kwenye hii ndoa japokuwa iko katika hatua za mwisho lakini hatihati. Wapo watu wanasema kuwa mwanaume  anadaiwa ana mwanamke mwingine, wengine wanasema ana mchumba ameshamlipia mahari kwa wazazi wake kwa hiyo mambo yameshajulikana na jamaa akaona aachane na ndoa hiyo.
“Lakini katika yote hayo, ukweli ni kwamba kuna asilimia tisini ya ndoa kutofungwa hiyo Mei 24 ndicho ninachokijua mimi,” alisema mtu mmoja wa karibu na familia ya wachumba hao.
Vicky alipotafutwa kwa njia ya simu Jumamosi iliyopita iliita kwa muda mrefu bila kupokelewa.
Hata hivyo, Uwazi bado linayafanyia kazi madai hayo ambayo ni mazito na ya ndani

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA
NDOA YA MIL. 96 YA VICKY KAMATA HATIHATI KUFUNGWA
http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBImbo83aion-PSyN--8x6HGuhg4RWTKlOTJEVZghE4vJlZUMP1YC6DGqVXIAzxdS*I75mBhSrUMD*LmKPehADXlw/vik.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/ndoa-ya-mil-96-ya-vicky-kamata-hatihati.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/ndoa-ya-mil-96-ya-vicky-kamata-hatihati.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago