Marehemu Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake. Taarifa iliyoifikia hivi punde, isema kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa...
Marehemu Jaji Lewis Makame enzi za uhai wake.
Taarifa
iliyoifikia hivi punde, isema kuwa aliewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi nchini, Jaji Mstaafu Lewis Makame (pichani) amefariki dunia
mchana huu katika hopitali ya Hospital ya AMI Trauma Center, Masaki
jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa kwa matibabu ya maradhi
yaliyokuwa yakimsumbua.
Habari kamili inakuijia hivi punde