Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Vyuo vya elimu ya juu tanzania yamefanyika usiku wa kuamkia tarehe 08.06.2014 katika ukumbi wa...
Mashindano ya kumtafuta mrembo wa Vyuo vya elimu ya juu tanzania
yamefanyika usiku wa kuamkia tarehe 08.06.2014 katika ukumbi wa Royal
Village mjini Dodoma.
Mrembo SOPHIE MASEI kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ambaye pia alishinda Miss UDOM mapema mwezi April ameweza kuibuka mshindi mara baada ya kuwazidi washiriki wenzake wapatao 15 kutoka vyuo mbalimbali vya Tanzania