post-feature-image
HomeBurudani

LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI

Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir...

SHEMEJI WA WEMA ATANGAZA NDOA NA DADA WA DIAMOND
Hiki Ndicho Kinachosemekana kutoka kwa Jokate na Ommy Dimpoz #LOVE
Mh TEMBA kuachia wimbo mpya Jumamosi hii
Mambo hadharani! Uhusiano wa staa wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando umewekwa kweupe.
Muigizaji katika tasnia ya Muvi Bongo, Elizabeth Michael 'Lulu'.
Kabla ya wawili hao kufunguka, kulikuwa na madai mazito kuwa Lulu na Nando ‘wanachepuka’ mara tu baada ya Nando kutolewa BBA kwa ukosefu wa nidhamu.
Kuna habari kuwa Nando ndiye aliyevujisha ishu hiyo, jambo ambalo Lulu hakupendezwa nalo hivyo kumpiga chini.
Mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013, Amir Nando.
Baada ya kunyetishiwa ishu hiyo, gazeti hili lilimtafuta Nando ambaye mwanzoni alifanya kama utani akidai Lulu ni mwanamke anayefaa kuolewa (wife material) lakini alipoulizwa kwa msisitizo, alikana kuwa na uhusiano na mrembo huyo.
Nando akifunguka kuhusu uhusiano wake na Lulu. Kushoto ni Sifael Paul.
“Lulu ni mkali, niko tayari kumuoa lakini sijamwambia, akikubali freshi nitamuoa. Kwa sasa ni mshikaji wangu tu na napenda kazi zake. Huwa ni mtu ambaye napenda kufuatilia ishu zake,” alisema Nando.
Kwa upande wake Lulu alishtuka na kudai kuwa aulizwe huyohuyo Nando na si yeye kwani haoni sababu ya yeye kuulizwa.
Alifunguka: “Hebu muulizeni Nando kama ni Lulu mimi au mwingine? Yeye akishatoa jibu sina la kusema.”
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI
LULU, NANDO WA BBA MAMBO HADHARANI
http://api.ning.com:80/files/a5b4X5Lcvi0W6DiEb9kiruw*tYz4u9jTeKTXnrv1Vz23MAQLJIOte*i0NAi15eMxq4uRH0qSFqJVWHNABfTIyEVHqo-USKmV/20140305101949.png?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/lulu-nando-wa-bba-mambo-hadharani.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/lulu-nando-wa-bba-mambo-hadharani.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago