Sijui kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Sou...
Sijui
kama ni time ya mastar wa Tanzania kuamua kuonyesha wazi mapenzi yao
kwa mastar wenzao,hii ni kutoka kwenye meza ya Soudy Brown ambapo kuna
stori zimetoka kuhusu uhusiano wa kimapenzi kati ya Jokate na Ommy
Dimpoz.
Ommy
Dimpoz alipoulizwa na Soudy Brown kuhusu uhusiano huu mpya amejibu kuwa
‘Ee bwana mi sielewi chochote na hayo maswali unayonambia siyaelewi
halafu cha pili mimi sina uhusiano ja Jojo’
‘Jojo ni mshkaji wangu tu mimi ni mwanamuziki na yeye mwanamuziki na
ukaribu wetu umetokana na kazi lakini nimeshangaa kidogo watu wanaongea
hivyo vitu lakini pia ni msichana mzuri,kuwa na bwana ni kitu cha
kawaida’.
Bonyeza play kusikiliza.