post-feature-image
HomeMajuu

Juliana Kanyomozi afiwa na mwanae wa kiume mwenye miaka 11

Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefiwa na mwanae wa kiume, Keron aliyekuwa na umri wa miaka 11. Keron amefariki leo saa 10;25 asu...

Video/Picha:- Twerking nine to five: Ex-teaching assistant now earning six-figure income shaking her bottom on Vine
Dan Osborne Apiga Picha za Utupu kwa Ajili ya Kupamba Jalida la Attitude Magazine - Ziangalie Hapa (18+)
Picha:- Mmmh Hatarii! Naomi Campbell Katisha Kabisa - Mtazame Hapa
Muimbaji wa Uganda, Juliana Kanyomozi amefiwa na mwanae wa kiume, Keron aliyekuwa na umri wa miaka 11. Keron amefariki leo saa 10;25 asubuhi kwenye hospitali ya Aga Khan jijini Nairobi kwa ugonjwa wa Asthma.
Juliana na marehemu mwanae, Keron
fwoman004px
Kabla ya hapo taarifa za kifo cha mtoto huyo zilikuwa kama fununu tu na watu mbalimbali waliandika tweets za kumuombea afya njema.
Watu mbalimbali mashuhuri wametuma salamu zao za rambirambi kwa muimbaji huyo ambaye pia ni jaji wa shindano la Tusker Project Fame.

Judith Heard
Woke up the most sad status from a Friend, Sister Juliana Kanyomozi Only Son Is Gone #RIPKeron My prayers are with you and your Family Akiiki. Lord, I come before you today knowing that all power is in Your hand. I know that you are the Lord and that you care for your people. Right now, my friend is struggling with a difficult trial. I can see her strength is faltering, Lord, and know that you have all of the strength that she needs.
I pray that you will reach down and touch her right now wherever she is at this moment. Let your presence fill the room where she is and let her feel an extra portion of your strength that can help her to get through this day. She needs you now, Lord, and I thank you in advance for meeting her where she is and shoring up her strength during this difficult time. In Jesus name. Amen.
Jaguar
Received sad news that Fellow artiste Juliana Kanyomozi this morning lost her only son Keron. No amount of words can express the grief. May The Lord grant you and your family strength during this trying moment.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Juliana Kanyomozi afiwa na mwanae wa kiume mwenye miaka 11
Juliana Kanyomozi afiwa na mwanae wa kiume mwenye miaka 11
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/07/jul.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/juliana-kanyomozi-afiwa-na-mwanae-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/juliana-kanyomozi-afiwa-na-mwanae-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago