post-feature-image
HomeBurudani

BATULI ACHIMBA MKWARA USHIRIKINA

STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushi...

DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’
BABY MADAHA ADAIWA KUAMBUKIZWA GONJWA BAYA
NASIBU ABDUL ALISHAFANYA VIBARUA ILI APATE FEDHA YA CHAKULA
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema kama kuna mtu yeyote anahusika na vifo vya wasanii katika ushirikina basi anajisumbua, kwake hawafui dafu.
STAA wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’
Batuli ameiambia Bongowood kuwa, hana uhakika kama wasanii hao vifo vyao vinatokana na mkono wa mtu kama minong’ono iliyoenea lakini kama kuna mambo ya nguvu za giza yanaendelea, kwake watashindwa sababu anamtegemea Mungu.
“Sitaki kuamini sana kama hali hii inatokana na nguvu za giza lakini kama kuna mambo ya ushirikina yanatendeka basi kwangu watashindwa kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu,” alisema Batuli.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: BATULI ACHIMBA MKWARA USHIRIKINA
BATULI ACHIMBA MKWARA USHIRIKINA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEju2avqdjtwNjGVTvs8YhH4BZUFW5U1wp1EqE184br0jLCVIN-XBOkuV2e2sZpLnFHU9PpQxQQWIcMlw6dTpd46DK2BJaVZtJp1UyA9VPWlBI2vGXuxgpC9vOz3qutG205Rn3HWRox9JUI/s1600/315603_243253429149482_201289056_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEju2avqdjtwNjGVTvs8YhH4BZUFW5U1wp1EqE184br0jLCVIN-XBOkuV2e2sZpLnFHU9PpQxQQWIcMlw6dTpd46DK2BJaVZtJp1UyA9VPWlBI2vGXuxgpC9vOz3qutG205Rn3HWRox9JUI/s72-c/315603_243253429149482_201289056_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/batuli-achimba-mkwara-ushirikina.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/batuli-achimba-mkwara-ushirikina.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago