post-feature-image
HomeBurudani

AUNT EZEKIEL: MH! IYOBO KANIPA MIMBA! SI KWELI, NIKIJIFUNGUA NITAMTAJA BABA MTOTO!

KAMA kawaida wadau wa safu bora kabisa ya Sindano Tano, kutokana na maombi yenu leo tumemleta yule mwanadada kipenzi cha wengi Au...

JOHARI, CHUCHU NUSU WAZICHAPE TENA
JIDE, AY LAIVU! WANASWA WAKITETA
Hatari: Madhara ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile (TIGO)
KAMA kawaida wadau wa safu bora kabisa ya Sindano Tano, kutokana na maombi yenu leo tumemleta yule mwanadada kipenzi cha wengi Aunt Ezekiel amefungukia maswali matano.


Mwanadada kipenzi cha wengi Aunt Ezekiel.

Paparazi: Mambo vipi? Kwema lakini Aunt? Ehne leta maneno, mna mipango gani na baba mtoto mtarajiwa, Iyobo?
Aunt: Hahaha mimi mzima! Kuhusu Iyobo, mh! Kanipa mimba! Si kweli, nitakapojifungua nitamtaja baba wa mtoto wangu.

Paparazi: Mbona Iyobo amekuwa akijinadi kwenye vyombo vya habari kuwa mzigo ulionao ni wake?
Aunt: Mh! Jibu langu ni hilo nililokupa.

Paparazi: Msanii gani wa kike ambaye unamkubali sana Bongo.
Aunt: Kwa kweli namkubali sana Wema Sepetu.


Aunt Ezekiel akiwa na Mose Iyobo.

Paparazi: Hivi kabla ya kuingia kwenye ‘u-miss’ ulikuwa unafanya shughuli gani?
Aunt: Nilikuwa nishaanza uigizaji ndipo waandaaji wa mashindano ya u-miss waliponiona na kuniambia nafaa na baada ya hapo nikashiriki kule Ilemela, Mwanza.

Paparazi: Ukiambiwa utoe ushauri juu ya penzi la shemeji yako wa zamani Diamond kwa mpenzi wake wa sasa Zari, utawaambiaje?
Aunt: Hahaha! Jamani hapo kwa kweli ‘no comment’
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AUNT EZEKIEL: MH! IYOBO KANIPA MIMBA! SI KWELI, NIKIJIFUNGUA NITAMTAJA BABA MTOTO!
AUNT EZEKIEL: MH! IYOBO KANIPA MIMBA! SI KWELI, NIKIJIFUNGUA NITAMTAJA BABA MTOTO!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNYBkYFrhY9VlNEvLw4Dio3-xEod7zDTcMCbziqkhuHCG4OMjH9h9on-Sxc4wMAuB71lOSh7eZz7_erFGWpSLDPpLWxgcr7L4wGI6beFfgQZiRvAqgVb0hPr-pwbBK-STF7-HDyhQEKAhT/s1600/AUNT.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNYBkYFrhY9VlNEvLw4Dio3-xEod7zDTcMCbziqkhuHCG4OMjH9h9on-Sxc4wMAuB71lOSh7eZz7_erFGWpSLDPpLWxgcr7L4wGI6beFfgQZiRvAqgVb0hPr-pwbBK-STF7-HDyhQEKAhT/s72-c/AUNT.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/aunt-ezekiel-mh-iyobo-kanipa-mimba-si.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/aunt-ezekiel-mh-iyobo-kanipa-mimba-si.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago