Archive Pages Design$type=blogging

JIDE, AY LAIVU! WANASWA WAKITETA

Stori: Andrew Carlos KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo   ‘Jide’ mwishoni mwa wik...

Stori: Andrew Carlos
KABANG! Mwanadada asiyechuja kwenye muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo   ‘Jide’ mwishoni mwa wiki iliyopita alibambwa ‘laivu’ kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu akiwa ‘very close’ na mwanamuziki mwenzake, Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo.
 
Wabongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ na Ambwene Yessaya ‘AY’ wakiteta jambo.
Ishu hiyo ilijiri kwenye Ukumbi wa High Spirit uliopo Jengo la IT Plaza, Posta jijini Dar ambapo kulikuwa na uzinduzi wa huduma mpya ya mtandao wa Airtel huku mastaa mbalimbali na waandishi wa habari wakijumuika pamoja kuanzia  saa 1:00 usiku.
Mapema kabla ya uzinduzi huo, AY aliyekuwa amepiga pamba nyeusi alikuwa wa kwanza kutinga ukumbini hapo akiwa ameongozana na Mtangazaji wa Show ya Mkasi kupitia EATV, Salama Jabir.Wakiwa wanapiga stori za hapa na pale, mara Jide naye alitinga ukumbini hapo ambapo jicho lake lilitua kwa AY na kusogea karibu kwenda kusalimiana naye.
 
Wakiendelea kujadiliana.
Wakiwa katika maongezi Jide na AY, mshereheshaji aliyekuwa akiendesha uzinduzi huo, Ephraim Kibonde aliwataka wakae mbele ikiwa ni kusaidia kuendesha shughuli ya ufunguzi wa huduma hiyo kama majaji.
Katika uzinduzi huo, waandishi na wahudhuriaji walikuwa wakishindana kuimba na kupewa zawadi kama head phones, simu aina ya Samsung Galaxy III pamoja na spika ndogo kutoka kampuni kubwa ya kutengeneza bidhaa za muziki iitwayo Beats.
Jide alionekana kukubali wito huo wa kukaa na AY ambapo aliamua kuwatema wenzake aliokuwa ameongozana nao hapo ukumbini na kwenda kukaa mbele na AY, vivyo hivyo kwa AY naye aliwatema akina Salama na mshikaji wake na kwenda mbele.
 
Judith Wambura Mbibo ‘Jide’.
Katika hali nyingine ya kuduwaza, Jide akiwa na AY huku wakionekana wako ‘dipu’ kwa mazungumzo kabla ya kuanza kuwajaji waimbaji, alionekana kukolea na kinywaji alichokuwa anakunywa bila kutumia glasi (kupiga tarumbeta) mwanzo mwisho.
Mara kwa mara wawili hao walikuwa bize wakiteta kwa sauti ya chini kwa takribani nusu saa.
Maneno yaliotumika kwenye picha ukurasa wa nyuma si halisi bali ni kama walikuwa wanasema.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: JIDE, AY LAIVU! WANASWA WAKITETA
JIDE, AY LAIVU! WANASWA WAKITETA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwTFjnsf25RX6RvaGv2t3eJasCxXJf9-IJlp7cFGLHj8jT2Q-Gm4p1vNANcws0a5VhSv_hLSLfbpMCtT5HEh6c0Ki8FzMgJzN0YYQR3mQssPy8tN4rxOKJT3Vq8I5IjIYF1sjNgmVFlWs/s1600/jidenaay.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwTFjnsf25RX6RvaGv2t3eJasCxXJf9-IJlp7cFGLHj8jT2Q-Gm4p1vNANcws0a5VhSv_hLSLfbpMCtT5HEh6c0Ki8FzMgJzN0YYQR3mQssPy8tN4rxOKJT3Vq8I5IjIYF1sjNgmVFlWs/s72-c/jidenaay.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/jide-ay-laivu-wanaswa-wakiteta.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/jide-ay-laivu-wanaswa-wakiteta.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago