post-feature-image
HomeBurudani

DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’

Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’. Siku chache...

DIAMOND PLATINUMZ APATA TUZO NYINGINE
KINACHOWAMALIZA MASTAA NI HIKI
SHOO YA DIAMOND DAR LIVE YAACHA HISTORIA
Msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’.
Siku chache baada ya wimbo wake wa Thats The Way uliojaa matusi yasiyoweza kuandikika gazetini kuanza kusambaa kwa kasi kwenye mitandao , msanii wa kitambo wa muziki wa kizazi kipya, Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ amefunguka kuwa halikuwa kusudio lake kuachia wimbo huo bali ulivuja kwa bahati mbaya mitandaoni.
Akipiga stori na Showbiz juzikati, Dully alisema kuwa wimbo huo aliomshirikisha mwanadada Maunda Zorro, aliurekodi miaka nane iliyopita kwenye studio yake ya Dhahabu Records na hakupanga kuutoa lakini kwa bahati mbaya ukavuja na kuingia mitandaoni.
“Siyo mpya, ni wa kitambo sana, nilirekodi miaka nane iliyopita nashangaa kwa nini watu wanafikiri ni mpya,” alisema Dully lakini alipoulizwa hata kama ni wa zamani kwa nini alirekodi wimbo wenye maneno ya kuhamasisha ngono, hakuwa na majibu.
Abdul Sykes ‘Dully Sykes’ akifafanua jambo.
Licha ya utetezi wake huo, wimbo huo unaonekana kuwa mpya kwani sauti ya Dully inafanana na ya kwenye nyimbo zake mpya za hivi karibuni.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’
DULLY SYKES ATOLEA UFAFANUZI WIMBO WAKE WA ‘MATUSI’
http://api.ning.com:80/files/DbrwTSp7ycOYPZK9IULgw359tcQoXzDseX9x2ZjOb6EDuBDwlGC2AqjAr4SX9ZUR*dk-Wu-DtcMXLhF1JY-vxd-STVoXVpOK/10601811_510475949098767_362612024_n.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/dully-sykes-atolea-ufafanuzi-wimbo-wake.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/11/dully-sykes-atolea-ufafanuzi-wimbo-wake.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago