Kim Kardashian, 33, na West, 36, wamefunga ndoa yao huko mjini Florence, Italy, Forte di Belvedere, Kim, Kanye na mtoto wao North W...
Kim, Kanye na mtoto wao North West walivalishwa na ‘Givenchy’ Haute Couture lilo designed na pal Riccardo Tisci. Rich Wilkerson Jr alikuwa pastor wao toka North Miami, Dada zake— Kourtney, Khloé, Kendall, and Kylie — walikuwa bridesmaids wake wakati best ya Kanye toka Chicago alikuwa groomsmen. Bruce Jenner baba wa kambo ndiye aliyemkabidhi KIM kanisani. Ndugu waliohudhuria ni kama Kris Jenner, North, Scott Disick with Mason na Penelope, grandma MJ, na Brandon na mkewe Leah Jenner —inasemekana Rob Kardashian hakuhudhuria Harusi kwasababu ambazo hazijulikani.
Watu wengine wanaojulikana waliofika kwenye harusi ni kama: John Legend and his model wife, Chrissy Teigen, Common, La La Anthony, tennis pro Serena Williams, retired NBA star Scottie Pippen and his wife, Larsa, famed jeweler Lorraine Schwartz, Big Sean, Tyga, Rick Rubin, designer Rachel Roy, Khloé’s BFF Malika Haqq, Brittny Gastineau, Jonathan Cheban, Simon Huck, Shelli Azoff, and Vogue contributing editor Andre Leon Talley.
Beyoncé na Jay Z, wamerepotiwa kwamba hawakuhudhuria harusi Ila Beyonce aliweka message instagram ya kuwatakiwa maisha mema kwenye ndoa yao.