Archive Pages Design$type=blogging

MWIMBAJI WA KIKE KUTOKA NIGERIA AJITOA KWA BOKO HARAM ILI WASICHANA 200 WAACHIWE HURU

Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhus...


Mwimbaji wa kike wa Nigeria mwenye umri wa miaka 23 anaefahamika kwa jina la Adokiye ameeleza anachofikiria kuhusu wasichana zaidi ya 200 wanaoshikiliwa na kundi la Boko Haram.
 
Mwimbaji huyo ambaye anafahamika sana kwa comments  zinazotengeneza mijadala hudai kuwa yeye ni bikira.
Mwishoni mwa wiki hii ameiambia Showtime kuwa anajitoa yeye kwa kundi la Boko Haram kama inawezekana wao kuwaachia wasichana wanaoshikiliwa na kundi hilo.
 
“Sasa hivi ni saa tato usiku, je unajua ninachofikiria? Wale wasichana wadogo, wapi walipo na nini kinawatokea muda huu. Sio sawa. Ni wadogo sana. 


"Nawishi ningeweza kujitoa mimi kubadilishana nao. Wana umri kati ya miaka 12 hadi 15. Mimi ni mkubwa na nimeshazoea maisha zaidi yao. 


"Hata kama wanaume 10 hadi kumi na mbili watanichukua kwa usiku mmoja, sijali. Nachojali wawaachie hao wasichana warudi kwa wazazi wao.”

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MWIMBAJI WA KIKE KUTOKA NIGERIA AJITOA KWA BOKO HARAM ILI WASICHANA 200 WAACHIWE HURU
MWIMBAJI WA KIKE KUTOKA NIGERIA AJITOA KWA BOKO HARAM ILI WASICHANA 200 WAACHIWE HURU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaQZcnVM8QYz1tugn_VNHRfAdM06RloFbIjACbFG1GPwquamUqXZf26p6kBa5XrTHpNQiPhj4gI4dJMYmBawvetTI0W1y6sovsqp3i1S6_B6rwrkVYGlbWaSXfuYPkOiTjQW3CHtCK3ls/s1600/1.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhaQZcnVM8QYz1tugn_VNHRfAdM06RloFbIjACbFG1GPwquamUqXZf26p6kBa5XrTHpNQiPhj4gI4dJMYmBawvetTI0W1y6sovsqp3i1S6_B6rwrkVYGlbWaSXfuYPkOiTjQW3CHtCK3ls/s72-c/1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/mwimbaji-wa-kike-kutoka-nigeria-ajitoa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/mwimbaji-wa-kike-kutoka-nigeria-ajitoa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago