Archive Pages Design$type=blogging

Wabunge Urusi wapendekeza marufuku ya uvaaji viatu virefu.

Mbunge wa bunge la Urusi Oleg Mikheyev, ametoa pendekezo linalowachukiza watu wengi, zaidi ikiwa ni wanawake la kuitaka serikali kupi...

heels
Mbunge wa bunge la Urusi Oleg Mikheyev, ametoa pendekezo linalowachukiza watu wengi, zaidi ikiwa ni wanawake la kuitaka serikali kupiga marufuku uvaaji wa viatu virefu kwa wanawake.
Katika pendekezo la Mikheyev lililotumwa kwa mwenyekiti wa bodi, ametaka kuwepo marufuku ya uvaaji viatu virefu na kuweka sheria kali ya jinsi viatu virefu vinavyotakiwa kuwa.
Mikheyev ameandika kuwa viatu havitakiwi kuwa virefu sana kwa wanawake kwa kuwa na urefu wa nchi mbili mpaka nne kufikia urefu wa nchi sita si kitu bora sana, hatua iliyoungwa mkono na baadhi ya wabunge.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Wabunge Urusi wapendekeza marufuku ya uvaaji viatu virefu.
Wabunge Urusi wapendekeza marufuku ya uvaaji viatu virefu.
http://i1.wp.com/millardayo.com/wp-content/uploads/2014/06/heels.jpg?resize=406%2C298
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/wabunge-urusi-wapendekeza-marufuku-ya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/wabunge-urusi-wapendekeza-marufuku-ya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago