Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa amejikita kupiga kazi ili kutunisha akaunti yake ya benki na kuwafanya...
Mtoto mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa
amejikita kupiga kazi ili kutunisha akaunti yake ya benki na kuwafanya
wabaya wake waumbuke.
Mtoto mzuri Bongo Muvi, Elizabeth Michael ‘Lulu’.
Akipiga stori mbili tatu na Bongowood, Lulu alisema anatambua wapo
watu wengi wanaotaka aharibikiwe lakini dawa yao ni kufanya kazi kwa
bidii.
“Waache wachonge weee, mi natunisha msuli kuhakikisha akaunti yangu benki inasoma mamilioni, watanielewa tu,” alisema.