Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti ...
Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse amewaponda
mastaa wa Bongo Muvi wanaotoka kimapenzi na vijana wadogo ‘Serengeti
Boys’ akidai kuwa wanajichoresha.
“Mimi mpaka naogopa na nawaonea huruma kwani hali ni mbaya jamani, watoto wadogo wanatoka na wasanii waliowazidi sana kiumri, yani imekuwa ni kama fasheni sasa, huku ni kujichoresha,” alisema Mai.
Mtangazaji ambaye pia ni mjasiriamali, Maimartha Jesse.
Akipiga stori hivi karibuni, Mai alisema anawashangaa
baadhi ya mastaa hao kutoona aibu kutangaza kuwa wanatoka na Serengeti
Boy huku wakionekana maeneo mbalimbali wakiponda raha.“Mimi mpaka naogopa na nawaonea huruma kwani hali ni mbaya jamani, watoto wadogo wanatoka na wasanii waliowazidi sana kiumri, yani imekuwa ni kama fasheni sasa, huku ni kujichoresha,” alisema Mai.