Archive Pages Design$type=blogging

Interview: Hivi ndivyo meninah alivyozungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya kuripotiwa anatoka na Diamond, muwewe mtarajiwa, rushwa ya ngono kwenye media na __

Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview ...

Mwimbaji wa Bongo Flava aliyewahi kuwa mshiriki wa shindano la Kuimba BSS, Meninah La Diva amefanya exclusive Interview na tovuti ya Times Fm na kufunguka mengi ambayo hakuwahi kuyasema.
Katika mahojiano hayo aliyofanya na Josefly Muhozi, amezungumzia kuhusu kipindi chake kipya cha runinga kitakachoanza hivi karibuni.  Amezungumzia pia kilichojiri baada ya kusambaa ripoti kuwa anatoka na Diamond Platinumz na anavyomchukulia Wema Sepetu.
Kuhusu Muziki wake, Meninah ambaye hivi sasa ameachia ‘Pipi ya Kijiti’ ameeleza ugumu na mipango alinayo katika kuvuka mipaka na kufanikiwa zaidi.
Kuhusu Mapenzi, mwimbaji huyo amemzungumzia mumewe mtarajiwa na mwimbaji wa kiume ambaye kwa ‘ndoto’ zake anaota angekuwa mpenzi wake ‘kokote uliko kama unanisikia, I Love You’...! Sikiliza hapo chini akimtaja na kumpa ujumbe.  
Meninah ambaye anasomea uandishi wa habari na utangazaji, ameeleza anachokifahamu kuhusu uwepo wa rushwa ya ngono kwenye media kati ya baadhi ya watu wa media na wasanii wa kike na ushauri wake.
Isikilize hapa, hupaswi kuikosa hii Interview.. Credit za  kutosha kwa DJ RGuy wa 100.5 Times Fm.
 
 

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Interview: Hivi ndivyo meninah alivyozungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya kuripotiwa anatoka na Diamond, muwewe mtarajiwa, rushwa ya ngono kwenye media na __
Interview: Hivi ndivyo meninah alivyozungumzia kipindi chake cha tv, kilichotokea baada ya kuripotiwa anatoka na Diamond, muwewe mtarajiwa, rushwa ya ngono kwenye media na __
http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/8/23/cache/Menina%20Times%20Fm_full.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/interview-hivi-ndivyo-meninah.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/08/interview-hivi-ndivyo-meninah.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago