Kim Kardashian amesema atamkubalia binti yake North West iwapo atataka kupiga picha za utupu akiwa mkubwa...
Kim Kardashian amesema atamkubalia binti yake North West iwapo atataka kupiga picha za utupu akiwa mkubwa.
Kim alikiambia kituo kimoja cha redio cha nchini Australia
kilichomuuliza: Utajiskiaje, miaka 20 baadaye pale North akisema ‘mama
nataka photo shoot kama ulivyofanya wewe?”
Kim alijibu: Nitamsupport kwa chochote atakachotaka kufanya.”
Hata hivyo Kim hakujibu jinsi baba yake North, Kanye West atakavyojibu ombi hilo na binti yao.