post-feature-image
HomeMajuu

Banky W na Millen Magese wanasoma chuo kimoja, New York Film Academy - Picha

Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese na CEO wa label ya EME (iliyomtoa Wizkid), Banky W ambaye pia ni muimbaji wa R&B, w...

Miss Tanzania wa zamani, Happiness Millen Magese na CEO wa label ya EME (iliyomtoa Wizkid), Banky W ambaye pia ni muimbaji wa R&B, wanasoma kwenye chuo kimoja, New York Film Academy. Wawili hao pia ni marafiki wa karibu.


Banky W na Millen Magese wakiwa na sehemu ya timu kwenye project hiyo
Kama sehemu ya kazi za masomo anayoyachukua kwenye chuo hicho ambayo ni uongozaji wa filamu, video za muziki na vingine, Banky W amemtumia Millen kama model kwenye project yake ambayo hata hivyo hajaiweka wazi kama ni video ya muziki au filamu fupi.

“A HUUUUGE thank you to my supermodel friend, the one & only @ladivamillen, for being a part of my production. She slays. #filmSchool #nyfa #DirectorW,” ameandika Banky kwenye moja ya picha alizoweka kwenye mtandao wa Instagram.


Banky W na Millen
Naye Millen kwenye moja ya picha alizoweka ameandika: Duh ! It’s so hard to be sexy emojibut following my director’s directions I guess I tried emojiemojicc @bankywellington #actingforfilm film #Filmmaking #Banky W Concept #schoolproduction #New York Film Academy.”

Banky na Millen wakiwa kitandani


Millen ana muda mrefu kidogo kwenye chuo hicho
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Banky W na Millen Magese wanasoma chuo kimoja, New York Film Academy - Picha
Banky W na Millen Magese wanasoma chuo kimoja, New York Film Academy - Picha
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDtDkBJ2BruixXs5IlIisWd3XMpqV7CYusjKt-pI7T39DHvpcrztFB8nv9L-4zvmWx52MGP6AIyau8L7t7wnpfZ0LLSRzqaT7AtcVcE8QCli4pIR9GWJxPtpyJg7gNsjhkkQeDq7UvKOIT/s1600/10723718_795124957197278_2080343483_n.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiDtDkBJ2BruixXs5IlIisWd3XMpqV7CYusjKt-pI7T39DHvpcrztFB8nv9L-4zvmWx52MGP6AIyau8L7t7wnpfZ0LLSRzqaT7AtcVcE8QCli4pIR9GWJxPtpyJg7gNsjhkkQeDq7UvKOIT/s72-c/10723718_795124957197278_2080343483_n.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/banky-w-na-millen-magese-wanasoma-chuo.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/banky-w-na-millen-magese-wanasoma-chuo.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago