post-feature-image
HomeBurudani

MSIBA WAKWAMISHA VIKAO VYA HARUSI YA ISABELA

SORRY! Vikao vya maandalizi ya harusi ya msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda vim...

JACKLINE WOLPER : I Feel so Good to Chat With Him When Am Like This..
Hizi Style Zingine za Nguo Ni Shida Tupu, EmbU Ona Alichovaa Jokate Hapa
TAMASHA LA FIESTA MOANI IRINGA NDANI YA UWANJA WA SAMORA HAPO JUZI, LEO MOROGORO
SORRY! Vikao vya maandalizi ya harusi ya msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda vimeahirishwa na kusogezwa mbele baada ya kupata msiba wa dada yake.
Msanii wa muziki Bongo, Isabela Mpanda.
Akizungumza na gazeti hili, Isabela alisema vikao vya maandalizi vilikuwa vianze Jumapili iliyopita lakini waliahirisha kutokana na msiba hivyo familia imeamua wasubiri mpaka siku arobaini ziishe ndipo waendelee na maandalizi ya harusi.
“Dada yangu Fau ameniuma sana jamani hivyo kikao changu cha kwanza cha maandalizi ya harusi kimepelekwa mbele mpaka arobaini iishe ndipo mambo hayo yaendelee,”alisema Isabela.
Isabela na mpenzi wake wa siku nyingi, Luteni Karama wanatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu ambapo Isabela amekuwa akifanya maandalizi ya nguo kabla hata vikao vya maandalizi kuanza.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MSIBA WAKWAMISHA VIKAO VYA HARUSI YA ISABELA
MSIBA WAKWAMISHA VIKAO VYA HARUSI YA ISABELA
http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycGHJHcBS0thxhTLV*ASblezYF*2jSudFVaPqYmjRXCWFJzkeYBWFRHbdKwWpdBPMmOc0q8IycK*rXlwiGAyN8js/IssabelaMpanda.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/msiba-wakwamisha-vikao-vya-harusi-ya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/msiba-wakwamisha-vikao-vya-harusi-ya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago