post-feature-image
HomeMajuu

Aliyebadili jinsia ashinda kesi Kenya

Audrey amekuwa akitaka baraza la mitihani kubadili jina lake na utambulisho wake wa kijinsia Mwan...

Picha:- Lauren Goodger Aonyesha Maziwa yake Katika kituo cha KISS FM's London Mahazimisho ya Sherehe ya Halloween
Hot Photo's(18+):- wapiga Makasia watoa Picha Mpya Za Uchi kwa ajili ya Kalenda Yao - Picha Zote Zipo Hapa
Ustar Shidaa(Video/Picha - 18+ )! Mwana mama Mwenye Umri wa Miaka 74 apiga Picha Za
Audrey amekuwa akitaka baraza la mitihani kubadili jina lake na utambulisho wake wa kijinsia
Mwanamke aliyebadili jinsia yake ya kiume na kuwa mwanamke na kutaka jina lake kubadilishwa kwenye cheti chake cha mtihani ameshinda kesi yake dhidi ya baraza la kitaifa la mitihani nchini Kenya.
Mahakama imelazimisha baraza hilo kumpa Adrey Mbugua cheti kipya kinachoonyesha hali yake mpya ya kijinsia hasa kwa kuwa anapokea matibabu ya kufanikisha jinsia yake kubadilika kabisa.
Bi Mbugua alilishitaki baraza la kitaifa la mitihani nchini humo kwa kukataa kubadililisha utambulisho wa jinsia yake kwenye cheti hicho kutoka kwa Mwanamme na kumtambua kama mwanamke licha ya amri iliyotolewa katika gazeti rasmi la serikali.
Jaji Weldon Korir amelipatia baraza hilo hadi siku 45 kubadilisha jina la Adrey katika cheti hicho kutoka kwa 'Andrew Mbugua' na utambulisho wa mwanamume na kulibadilisha kuwa jina la kike la 'Audrey Mbugua' bila ya kuweka jinsia yoyote.
Jaji alisema kuwa jinsia ya Adrey kwenye cheti hicho haiongezi thamani yoyote kwa matokeo yake wala alama alizopata Audrey na kuondolewa kwake vile vile hakuna athari yoyote.
Aliongeza kuwa Audrey ameonyesha kuwa yuko tofauti na hivyo ndivyo anavyopaswa kutambuliwa.
'Audrey ni mwanadamu ambaye anajitambua kwama mwanamke wala sio kama mwanamume jinsia aliyozaliwa nayo,'' alisema jaji.
Jaji alisema kuwa katiba ya nchi inaamrisha watu kuwaheshimu wengine kama ipasavyo bila ubaguzi wowote na kwamba heshima hiyo inahusu mambo mengi ikiwemo mtu anavyotaka kutambuliwa.
Aliongeza kuwa ili Audrey kuhisi kuwa sawa anapaswa kukubalika kama alivyo na kumyima haki hiyo ya kubadilisha jina lake katika chati chake itakuwa ukiukwaji wa haki zake za kibinadamu.
Wakili wa Audrey, aliambia mahakama kuwa mteja wake alizaliwa na kasoro ya kijinsia na kwamba anaendelea kupokea matibabu.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Aliyebadili jinsia ashinda kesi Kenya
Aliyebadili jinsia ashinda kesi Kenya
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitfzRLXnXCnbgCN30cIs2RBH8dqnXcPT0nKP7fZCo_IzlnJndtpdyJ8Wk7TRlOdeWEcKijxkwSD2N5cA5WH87Is6bm9eFHCD8lCN8fL6NUMzsgYnjOYsg-IbJvaacX25-KgHIOzHVEY91Z/s1600/141007152134_audrey_mbugua_512x288_bbc_nocredit.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEitfzRLXnXCnbgCN30cIs2RBH8dqnXcPT0nKP7fZCo_IzlnJndtpdyJ8Wk7TRlOdeWEcKijxkwSD2N5cA5WH87Is6bm9eFHCD8lCN8fL6NUMzsgYnjOYsg-IbJvaacX25-KgHIOzHVEY91Z/s72-c/141007152134_audrey_mbugua_512x288_bbc_nocredit.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/aliyebadili-jinsia-ashinda-kesi-kenya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/10/aliyebadili-jinsia-ashinda-kesi-kenya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago