post-feature-image
HomeBurudani

HIVI NDIVYO ISABELA ALIVYOWAANGUKIA WATANZANIA

MSAMAHA!  Baada ya hivi karibuni kuvua nguo na kuonesha sehemu nyeti hadharani, msanii wa muziki na filamu Bongo, Isabela Mpanda ameibuka...

MSAMAHA!  Baada ya hivi karibuni kuvua nguo na kuonesha sehemu nyeti hadharani, msanii wa muziki na filamu Bongo, Isabela Mpanda ameibuka na kuwaomba radhi Watanzania kwa kitendo hicho kichafu alichokifanya.
Msanii wa muziki na filamu Bongo, Isabela Mpanda.
Akichonga na gazeti hili, Isabela alisema ameumia sana baada ya kuona picha akiwa ameacha sehemu zake nyeti nje hivyo anawaomba Watanzania wamsamehe kwani hakuwa akijua alichokuwa anakifanya kwa sababu ya ulevi.
“Naomba Watanzania waliokerwa na kitendo cha kuvua nguo hadharani wanisamehe kwani haikuwa akili zangu wala sikufanya kwa makusudi ila pombe ndizo zilizoniponza,” alisema Isabela.
Isabela aliacha nje sehemu nyeti katika kitchen party ya Vanitha Omary iliyofanyika hivi karibuni katika Ukumbi wa Mawela, Dar.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO ISABELA ALIVYOWAANGUKIA WATANZANIA
HIVI NDIVYO ISABELA ALIVYOWAANGUKIA WATANZANIA
http://api.ning.com:80/files/Xl3n4nptF*pYLBblogo2GDSgtHc2P13UKzpk7V1kOsT8vmUZhRiFkW7xJ1WHOEokYwUqobq10cHNt7nfNJYKA0dWVmwwnJ7D/isabela2.jpg?width=650
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/hivi-ndivyo-isabela-alivyowaangukia.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/05/hivi-ndivyo-isabela-alivyowaangukia.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago