post-feature-image
HomeBurudani

MAINA ATESWA NA PENZI LA ASLAY WA YAMOTO BAND

  Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei. HISIA! Mrembo aliyetinga...

PENNY, WEMA WAKUMBANA STUDIO
NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI
MZEE WA KANISA AAIBIKA! ACHOMOLEWA GESTI APELEKWA KANISANI MSOBEMSOBE

 Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei.
HISIA! Mrembo aliyetinga hatua ya Tano Bora ya Shindano la Bongo Star Search (EBSS) 2013, Maina Thadei ameibuka na kuelezea hisia zake kuwa anateswa na penzi la staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.

Akizungumza na gazeti hili, Maina alisema kuwa ameshindwa kabisa kuzizuia hisia zake kwa bwa’mdogo huyo ambaye anatamba na wimbo wa Ya Moto na kusema yupo tayari kwa lolote.
“Kwa kweli ananinyima usingizi, namfikiria sana. Naanza kazi moja tu ya kumsaka na nikimkamata hatoki hapa kwangu, sitakubali,” alisema Maina.
 
Staa wa Bongo Fleva, Asilahi Isihaka ‘Aslay’.
Pia mwanamuziki huyo aliongeza kuwa, atakapokuwa karibu na Aslay anaamini watatengeneza ‘kapo’ nzuri ambayo italeta ladha pindi watakaposhirikiana kimuziki.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MAINA ATESWA NA PENZI LA ASLAY WA YAMOTO BAND
MAINA ATESWA NA PENZI LA ASLAY WA YAMOTO BAND
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2KDaUKA1NP3SsTrrS5b1MK6wlP5b0N5qaHgGjV7WRMjUc7jPA-sFioMeJfMKwZ00C8fg1S7tXquoguoyBcGLzcDcbIjZZu3alO-W_jZZCPr4EaOWUy5cOwyLC_hSEshfGtFKCtn1aUx0/s1600/maina.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEi2KDaUKA1NP3SsTrrS5b1MK6wlP5b0N5qaHgGjV7WRMjUc7jPA-sFioMeJfMKwZ00C8fg1S7tXquoguoyBcGLzcDcbIjZZu3alO-W_jZZCPr4EaOWUy5cOwyLC_hSEshfGtFKCtn1aUx0/s72-c/maina.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/maina-ateswa-na-penzi-la-aslay-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/maina-ateswa-na-penzi-la-aslay-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago