Archive Pages Design$type=blogging

NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI

MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na k...

MWANADADA kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amewabwatukia wasanii wenzake wanaomshutumu kwamba anatumia ndumba na kuwataka waache maneno hayo.
 
Mwanadada kutoka kiwanda cha Filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’
Nisha aliyasema hayo kufuatia hivi karibuni kuzagaa kwa tetesi kuwa alizomewa na wasanii wenzake wakimwita mchawi kutokana na mafanikio aliyoyapata kwa haraka kwenye sanaa, tofauti na wasanii wengine wanaosota kwa muda mrefu mpaka kupata mafanikio.
“Unajua siku zote mti wenye matunda ndiyo huwa unapigwa mawe, kipindi nikiwa bado sijaweza kucheza filamu zangu, yaani nikiwa chipukizi hakuna aliyekuwa ananizungumzia lakini sasa hivi wananiongelea kila kona, anayesema mimi ni mchawi basi huwa tunawanga pamoja, mimi namwamini Mungu sijui na siamini katika uchawi, mafanikio yangu ni Mungu tu na kujituma kwa bidii,” alisema Nisha.
CREDIT: GPL

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI
NISHA AWABWATUKIA WANAOMWITA MCHAWI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn2FF60KBW2sVILc696ENQ3OxH3cODXwkQCQsj5Cj4VBpZzsBvaaXRdDr2pQKa9Wx70bbEkiAUksd11WX_e48ypE5s4ZycoK_IoNFfNTByExq5a-qjYYduQs7NdeZXPUzkIXJVdBmFgFg/s1600/nisha.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhn2FF60KBW2sVILc696ENQ3OxH3cODXwkQCQsj5Cj4VBpZzsBvaaXRdDr2pQKa9Wx70bbEkiAUksd11WX_e48ypE5s4ZycoK_IoNFfNTByExq5a-qjYYduQs7NdeZXPUzkIXJVdBmFgFg/s72-c/nisha.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/nisha-awabwatukia-wanaomwita-mchawi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/nisha-awabwatukia-wanaomwita-mchawi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago