post-feature-image
HomeBurudani

MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI

  Na Waandishi Wetu Msanii wa Muziki wa Bongo ...

Hizi Ndio Picha Za Mastaa Alizochora @Chrissrenny, Yupo Lulu @jokateM, @diamondplatnumz, Chris Brown.
HII NDIO JEURI YA PESAA - Umeicheki gari Mpya la Kifahari la Lulu? Noma Sana!!
AIBU ILIYOJE! MUME WA MTU ANASWA NDANI YA DANGURO NA WAANDISHI WETU
 
Na Waandishi Wetu
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ hivi karibuni alilala katika Kituo cha Polisi cha Kigamboni, Dar  akihusishwa na utekaji wa dereva wa bodaboda, Suedi Waziri (pichani) kisha kumpa kipigo ambapo inadaiwa alisoteshwa kinomanoma.
 
Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva a.k.a Rais wa Manzese, Hamad Ally ‘Madee’ akiwa mikononi mwa Polisi
Baada ya tukio hilo lililotokea mwishoni mwa wiki iliyopita, Ijumaa lilinasa picha zinazomuonyesha msanii huyo akihenyeshwa kituoni hapo huku mmoja wa watu wanaoishi karibu na eneo hilo akinyetisha kuwa, licha ya ustaa wake Madee alikiona cha mtemakuni.
 
Dereva wa bodaboda, Suedi Waziri aliyetekwa na kushambuliwa na Madee.
“Mimi nilikuwepo pale kituoni, nilimshuhudia akiwa amepigwa pingu huku polisi kama sita hivi, mmoja akiwa na silaha wakiwa wamemuweka chini ya ulinzi wakimpeleka mahakamani.“Alionekana aliyechoka sana huku akiwa na hofu ila inavyodaiwa baadhi ya watu wake wa karibu walikuwa wakihaha kumnusuru baada ya kulala selo,”  kilidai chanzo hicho.
 
Majeraha ya mguuni aliyopata Suedi Waziri baada ya kushambuliwa na Madee.
Kufuatia msala huo, msanii huyo alipandishwa kizimbani katika Mahakama ya Kigamboni na baadaye kuwekewa dhamana na baba yake ambapo kesi yake itatajwa tena Oktoba 6, mwaka huu.
Madee anadaiwa kumteka Suedi na kwenda kumsulubu nyumbani kwake Manzese baada ya kijana aliyekuwa amepakia kwenye bodaboda yake kukwapua simu ya msanii huyo na kukimbia.
Katika kushinikiza simu yake irudishwe ndipo Madee alipomtaiti Suedi na mwisho wa siku akaishia mikononi mwa polisi kwa kufunguliwa kesi iliyosomeka: VJB/RB/625/2014 KUTEKWA KWA BINADAMU Imeandikwa na Mayasa Mariwata, Shani Ramadhani na Rhoda Josiah.
CREDIT: GLOBAL PUBLISHERS
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI
MADEE ALIVYOSOTESHWA POLISI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWUD89xpZd4KG0GT3Ev1UDvkJMOmx0XocQ8ElbDe0PFt3FT9Pil2WTb8wI_IwCT-AxXQjJ5KRhzQpaQH9rbVxuZGLRY0zgIurX3K-Q2Xkj2skakT5qhmZBVYmvugFx0JuKLQOvLyiVXPw/s1600/DSCF7575.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgWUD89xpZd4KG0GT3Ev1UDvkJMOmx0XocQ8ElbDe0PFt3FT9Pil2WTb8wI_IwCT-AxXQjJ5KRhzQpaQH9rbVxuZGLRY0zgIurX3K-Q2Xkj2skakT5qhmZBVYmvugFx0JuKLQOvLyiVXPw/s72-c/DSCF7575.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/madee-alivyosoteshwa-polisi.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/09/madee-alivyosoteshwa-polisi.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago