Baada ya kukaa na gari yake Rav4.Sasa msanii Elizabeth Michael "Lulu" ameji-upgrade na kununua gari mpya ya ukweli sana.Hii...
Baada ya kukaa na gari yake Rav4.Sasa msanii Elizabeth Michael "Lulu"
ameji-upgrade na kununua gari mpya ya ukweli sana.Hii inaonyesha kwamba
tasnia hii ya Filamu inalipa sana baada ya watu kuwashangaa wasanii kama
Irene Uwiya kwanini wanaendesha magari ya kifahari