Joseph Haule aka Profes...
Joseph Haule aka Professor Jay yuko mbioni kuachia video ya
single yake ‘Kipi Sijaskia’ aliyomshirikisha Diamond Platnumz. Hiki ni
kionjo cha video hiyo ambayo imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab: Next
Level.
Joseph Haule aka Profes...