Ni mara nyingi Diamond Platnum...
Kupitia Instagram yake hit maker wa ‘Number 1’ ameamua kuwaonjesha kidogo mashabiki wake wimbo mmoja ulioko kwenye maktaba yake.
Bofya Hapa kusikiliza 1
“wakati Mwingine natamanigi hata mngepata dakika moja tu ya kuskia nyimbo nilizo nazo ndani, … hii inaitwa #Nitampata_wapi? sjui kina @babutale wataitoa lini… maana haipo kabisa katika list ya nyimbo zitolewazo… ila, kwakuwa nyie ni watu wangu wa nguvu nimeamua kuwaibia kidoogo, sjui watanimind!#GermanyWeekEnd.” – Diamond
Bofya Hapa Kuusikiliza 2

“Kwa heshima yenu tu, hichi kipande cha mwisho… ( Alonifanya silali,
jua kali, nimtafutie tukale, lakini wala hakujali… darling, akatekwa na
wale….) #NITAMPATA_WAPI? #One_Of_Unreleased_Love_Song #GermanyWeekEnd”
Weekend hii Diamond na vijana wake wa Wasafi wako Ujerumani ambapo wamefanya show ya kwanza usiku wa jana