post-feature-image
HomeBurudani

Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’ July 12

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya Ijumaa July 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘M...

Je, unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume?? Unataka kuimarisha mishipa yako ili uweze kwenda Raundi mbili na kuendelea??....Bofya hapa ukutane na JIKO
Niko tayari kufanya mkanda wa Ngono - Maeeda
Picha za kanga Moko LIVEEEEE
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Young Killer Msodoki amefunguka kwa kusema kuwa siku ya Ijumaa July 12 anatarajia kuachia video ya wimbo ‘My Power’ iliyoongozwa na director mpya Jackson Joakim .

Akizungumza na bongo5 , Young Killer, amesema video ya My Power ni video nzuri kiasi chake ambayo haijamgharimu pesa nyingi.
“My Power video inatoka Ijumaa, nimefanya na kampuni mpya chini ya director Jackson Joakim. Video ya My Power ni video fulani, nzuri, simple na ina mambo fulani ya asili ya Kitanzania, ni video ambayo haija cost sana gharama kubwa, yaani ni video fulani simple tu, kwahiyo wadau na fans wa Msodoki wasubirie video na waipokee vizuri,” amesema rapper huyo.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’ July 12
Young Killer kuachia video ya wimbo ‘My Power’ July 12
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2013/12/Young-Killer1.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/young-killer-kuachia-video-ya-wimbo-my.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/young-killer-kuachia-video-ya-wimbo-my.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago