post-feature-image
HomeBurudani

Joh Makini na G-Nako wafanya wimbo na Sauti Sol wa Kenya

Weusi Joh Makini na G-Nako wanatumia vizuri nafasi walioipata kuwa sehemu ya kipindi cha Coke Studio kinachofanyika N...

MUME WA ZARI AFUNGUKA NA KUDAI "ZARI HAWEZI KUZAA NA DIAMOND", AANIKA SIRI NZITO!
MATONYA AMVAA JAYDEE, KISA PICHA YA UDHALILISHAJI
IYOBO: HATA KAMA AUNT AMENIZIDI UMRI, HAIHUSU

Weusi Joh Makini na G-Nako wanatumia vizuri nafasi walioipata kuwa sehemu ya kipindi cha Coke Studio kinachofanyika Nairobi, Kenya na kuwakutanisha wasanii wakubwa duniani kote.

Wakali hao wamefanya collabo na kundi la Sauti Sol la Kenya, kundi ambalo kimuziki limepiga hatua kubwa hata nje ya Afrika Mashariki. Kazi haikuwa ndogo na iliwabidi wakeshe kuhakikisha inakuwa katika kiwango kinachoridhisha.
“Studioni mpaka alfajiri ya leo na @Sautisol @fancy_fingers @savaramudigi @chimano @bienaimealusa @fundifrank #hakunakulala #Mwenyezi Mungu ni mwaminifu #Kituimepikwa.” Ameandika Joh Makini kwenye post ya Instagram akiwa na G Nako na kundi hilo.
Siku chache zilizopita Joh Makini alifanya collabo na mwanamuziki wa kike kutoka Nigeria Chidinma.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Joh Makini na G-Nako wafanya wimbo na Sauti Sol wa Kenya
Joh Makini na G-Nako wafanya wimbo na Sauti Sol wa Kenya
http://www.timesfm.co.tz/content/uploads/2014/7/19/cache/joh%20makini%20na%20Sauti%20Sol_full.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/joh-makini-na-g-nako-wafanya-wimbo-na.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/joh-makini-na-g-nako-wafanya-wimbo-na.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago