post-feature-image
HomeBurudani

HIVI NDIVYO MSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA ALIVYOFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkum...

Irene Uwoya azama kwenye penzi la dancer wa THT, Msami - Picha
AKODI NGOMA KUMFUMANIA MKE!
BEYONCE STEPS OUT SOLO IN NYC.

Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama leo alifuturisha wasanii, ndugu,jamaa na marafiki zake ikiwa ni ishara ya kumkumbuka marehemu mama yake mzazi ambaye alishatangulia mbele ya haki. Akitoa shukrani zake kwa waalikwa, alisema ameona vyema kuandaa chakula cha pamoja ili waweze kumuenzi mama yao mzazi kwa vile alipenda sana watu hasa kukutana na kupata chakula pamoja.
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiendelea kutoa shukrani zake za pekee.

Mjomba wa Msanii chipukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akitoa shukrani zake za pekee.

Msanii wa runinga, Michael Deodatus Sango ‘Mike’ akitoa shukrani kwa niaba ya rais wa Bongo Movie Steve Nyerere ambaye hakuweza kufika.
Wasanii, ndugu jamaa na marafiki waliofika wakipata futari.
Kila mmoja hakuwa nyuma kupata futari.
Huduma zikiendelea kutolewa.
Kumbu Kumbu.
Picha ya pamoja na wasanii wenzake mara baada ya kupata futari.
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama (kati) akiwa na Dada yake kushoto na mdogo wake wakipata ukodak.
Msanii chupukizi wa Bongo Movie, Ester Kiama akiwa na wajomba zake.
Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: HIVI NDIVYO MSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA ALIVYOFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR
HIVI NDIVYO MSANII WA BONGO MOVIE ESTER KIAMA ALIVYOFUTURISHA WASANII WENZAKE JIJINI DAR
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFzQYL3KcPiiA1B67iI_Tpj7xYjL7VsrOGzK7fxR9xuhQVltZD0eY7ffiwiZVM2FB-XX8XLf_XvewwoEaUkmvIqylSA0mOsiIBI_KhZo6Fultn6_q93_2thGMhgiV_g_iDi4TJoahGzkM/s1600/IMG_2932.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiFzQYL3KcPiiA1B67iI_Tpj7xYjL7VsrOGzK7fxR9xuhQVltZD0eY7ffiwiZVM2FB-XX8XLf_XvewwoEaUkmvIqylSA0mOsiIBI_KhZo6Fultn6_q93_2thGMhgiV_g_iDi4TJoahGzkM/s72-c/IMG_2932.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hivi-ndivyo-msanii-wa-bongo-movie-ester.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/07/hivi-ndivyo-msanii-wa-bongo-movie-ester.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago