Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya mpenz...
Muigizaji wa filamu, Irene Uwoya, amezama kwenye penzi la
mwalimu wa kucheza muziki wa THT, Msami. Kwa mujibu wa mahojiano kati ya
mpenzi wa Msami aitwaye Rehema na Soudy Brown wa U Heard, Irene ndiye
aliyependa (kumtongoza) kuwa na Msami licha ya kufahamu kuwa tayari ana
mpenzi mwingine.
Msami na Irene Uwoya
Rehema amesema kilichomfanya Msami akubali kuwa ‘Serengeti’ wa Uwoya ni kwakuwa amekuwa akiwezeshwa fedha zinazomweka mjini. Rehema amesema Msami amekuwa kwenye uhusiano na Uwoya ni tamaa za kuwa na maisha mazuri.

“Ni tamaa tu za vijana, si unajua tena ukiwa bado hujatoka.
Wanashawishika na tamaa ya hela ili apate kutoka na ajulikane,” amesema
Rehema.
Msikilize zaidi hapa.