Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka miwili(2) hitmaker huyu wa Sinderela, anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku chache zijazo. Na...
Baada ya kukaa kimya kwa takribani miaka miwili(2) hitmaker huyu wa Sinderela, anatarajia kuachia ngoma yake mpya siku chache zijazo. Na hii ndio picha ya kava linaloonekana kuwa la ngoma yake hiyo zimeanza kuonekana Leo jumatatu hii Instagram