Baada ya Ali Kiba Kunukuliwa akisema kwenye interview kuwa “Siti yake kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu ila inavumbi tu” Inasemek...
Baada ya Ali Kiba Kunukuliwa akisema kwenye interview kuwa “Siti yake
kwenye bongo fleva haijakaliwa na mtu ila inavumbi tu” Inasemekana hili
ndio jibu la Daimond kuhusu Comment hiyo ya Ali Kiba.
Baada ya maneno haya ya Diamond, Comment za mashabiki zimeonyesha
kuwa hawafurahishwa na ugomvi unaoendelea kati yao ukizingatia wote ni
wasanii wakubwa wanaofanya muziki wa Tanzania kujulikana Africa na dunia
kwa ujumla.