post-feature-image
HomeBurudani

Tapeli Raia wa NIGERIA ajifanya Director MOE MUSA na kupiga pesa za Wasanii.

    Michezo hii ilikuwa inafanyika bongo kwa wasanii kwenda mikoani na kuiba “identity” za wasanii na kupiga hela, wengine kudiliki...

Ray C aandika Ujumbe Mzito juu ya Chid Benz asema Pole kaka yangu, naumia kuona tatizo ulilokuwa - Endelea Nayo Hapa
SIRI IMEFICHUKA: MTIFUANO KATI YA DIAMOND NA ALIKIBA KUMBE CHANZO NDIO HIKI HAPA.
Kizazi kikaidi: Huyo akamatwa akimpa URODA Shemeji yake
 
 
Michezo hii ilikuwa inafanyika bongo kwa wasanii kwenda mikoani na kuiba “identity” za wasanii na kupiga hela, wengine kudiliki kabisa kupanda kwenye stage na kuimba kama wasanii hao. Hii imewatokea wasanii kama Alikiba na wengine pia kukumbana na “Identity Theft” na baadhi kupiga hela na kutapeli wananchi pamoja na wasanii.
‘Director MOE MUSA’ ambae base yake ipo maeneo ya ‘BRIXTON’ South ‘London’ nchini Uingereza na amekuwa akifanya kazi za wasanii wakubwa sana Africa kama “Tiwa Savage, Davido, Fuse ODG” na wengine wengi nchini Uingereza, director huyu amefanya kazi na msanii Ommy Dimpoz “Ndagushima” na msanii ‘Diamond’ nae ametoka kufanya kazi na director huyo siku chache zilizopita katika ziara yake nchini UK katika ngoma yake aliyomshirikisha ‘Iyanya’
Kama kawaida ya wananchi ambao hawana cha kufanya hutaka kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu, hii ni kutokana na jamaa ajulikanae kwa jina ‘Oguns Douglas’ ambae amefungua account Facebook na kuanza kuchukua advance za wasanii na kusimama kama “Moe Musa” na kuwaahidi kufanyia video kali na kufanya utapeli wa hali ya juu kwa kutumia jina la Director huyo…. So wana EAST AFRICA, kuwa makini sana na matapeli kama hawa maana utakua unapoteza pesa zako bure. Na kama unahitaji kuwasiliana na Director Mr Moe Musa, hii ndio account yake ya ukweli na contacts zake zipo hapo. Bofya Hapa Kuendelea

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: Tapeli Raia wa NIGERIA ajifanya Director MOE MUSA na kupiga pesa za Wasanii.
Tapeli Raia wa NIGERIA ajifanya Director MOE MUSA na kupiga pesa za Wasanii.
http://www.gongamx.com/wp-content/uploads/2014/06/20140602-083003-30603999.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/tapeli-raia-wa-nigeria-ajifanya.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2014/06/tapeli-raia-wa-nigeria-ajifanya.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago