Baada ya purukushani ya mapenzi, kuachana na kurudiana mara kadhaa Justi Biber na Selena Gomez wamepanga kuvunga ngazi ya kuchumbian...
Baada ya purukushani ya mapenzi, kuachana na kurudiana mara kadhaa
Justi Biber na Selena Gomez wamepanga kuvunga ngazi ya kuchumbiana ili
wafunge ndoa.
Rafiki wa karibu wa Justin Bieber ameiambia HollywoodLife.com kuwa
Justin alimwambia Selena kuwa yuko tayari kutulia na kupata watoto.
Maelezo hayo yanapata nguvu zaidi kwa kuwa hivi karibuni Justin Bieber alionekana akitembelea duka moja la vidani zikiwemo pete.