MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii...
MAJANGA! Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian ameonekana
hamnazo baada ya kutupia picha ya nusu utupu katika mtandao wa kijamii
wa Instagram kisha kuambulia mvua ya matusi.
Mshiriki wa Miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian
Picha hiyo ilimuonesha akiwa amejiziba usoni na kuacha wazi sehemu
kubwa ya mwili wake ambapo baadhi ya wafuasi wa mtandao huo walimkalisha
kwa kumpa za chembe.
Picha ya nusu uchi aliyotupia miss Kiswahili 2009, Rehema Fabian katiaka mtandao wa Instagram.
“Huwezi kuwa mtu unayejiheshimu katika jamii halafu ukatupia picha ya
namna hii katika mtandao wa kijamii,” alichangia mmoja wa wafuasi wa
Instagram.