Mastaa wa filamu wa Bongo Movies juzi walifurika kwenye 'kibao kata'amba...
Mastaa wa filamu wa Bongo Movies juzi walifurika kwenye 'kibao kata'ambayo ni shughuli ya kumuaga msanii mwenzao, Vanita Omary kilichofanyika kwenye Ukumbi wa PG Hall (zamani Asset Club) jijini Dar.
Katika shughuli hiyo mastaa walionekana
kucharuka kwa kucheza huku wengine wakiwa wamelewa chakari tofauti na
muonekano wao wawapo mitaani.