Ukijaliwa kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila Mwanaume, kuna wanaume na akili za...
Ukijaliwa
kuwa Msichana mzuri na mrembo,usidhani utatetemesha kila
Mwanaume, kuna wanaume na akili zao kichwani,urembo wako
hauwasumbui kama bichwa lako ni kanyaboya,uzuri wako hausaidii
kitu,na utashangaa no one is paying attention,watu
utakaowapata ni walewale kanyaboya wenzako, na hawana
futuretabaki unaliwa bure kila siku unatoa macho.
Ukipata
mwanaume anakupenda unaanza drama zako na kupiga watu
danadana,madai yako hujali na unadhani hata akiondoka utapata
mwingine kisa wewe ni mzuri, la hasha Mwanaume akijitoa mhanga
kukupenda kwa uzuri wako mheshimu,maana viumbe wa kike wakiwa
wazuri ni shida na matatizo hakuna mtu anataka,sasa
ukimwongezea na drama pamoja na yeye kujigeuza mpalestina
kwako utajikuta umeolewa na kioo cha chumbani kwako,maana
hicho ndo kinakudanganya sana kwamba we ni mrembo.
Watch
out drama zina mwisho, leo unacheza na mioyo ya watu
unajiona we kifaa usidhani wanaume hawaumii, tunaumia
sema hatusemi tu,machozi yetu kama ya samaki