Archive Pages Design$type=blogging

SNURA ANG’ANG’ANIA KUISHI BAA

KATIKA kile kinachoonekana kama king’ang’anizi, staa wa muziki wa Mduara, Snura Mu...


KATIKA kile kinachoonekana kama king’ang’anizi, staa wa muziki wa Mduara, Snura Mushi ameibuka na kusema hawezi kuhama nyumba anayoishi hivi sasa, ambayo upande mmoja ni baa kwa vile anaishi kwa malengo na si kufuata watu wanavyosema.
Staa wa muziki wa Mduara, Snura Mushi.
“Kila kukicha nasikia maneno yakizagaa kuwa ninakaa baa hilo litasemwa sana wala sina mpango wa kuhama, nina malengo yangu makubwa, nikihama hapa huenda nikahamia kwenye nyumba yangu na si kwenda kuwatajirisha watu wengine,” alisema Snura.
Alisema kuwa kwake mwanamuziki hakuwezi kumfanya kutafuta kuishi nyumba za mamilioni, kwani siku zote ameishi akitafuta kwa malengo, hivyo hawezi kujikweza kwa kidogo anachopata

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: SNURA ANG’ANG’ANIA KUISHI BAA
SNURA ANG’ANG’ANIA KUISHI BAA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWElKyN0grOkGWjLPqTpDI3yG1qoaf8iZ-nDPq7MWG05W1aqkOlIU6w-CViPDsiiL0aFcT-aIVXdo7sCgTBeMMWVl86q2EaYVunSGeRMpLNe4EtfXX_zjqAE6_vkpErDJlnQplxrnn3F4/s1600/snura.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiWElKyN0grOkGWjLPqTpDI3yG1qoaf8iZ-nDPq7MWG05W1aqkOlIU6w-CViPDsiiL0aFcT-aIVXdo7sCgTBeMMWVl86q2EaYVunSGeRMpLNe4EtfXX_zjqAE6_vkpErDJlnQplxrnn3F4/s72-c/snura.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/03/snura-angangania-kuishi-baa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/03/snura-angangania-kuishi-baa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago