Mrembo huyo akiwa kwenye gari. MREMBO mmoja ambaye hakuweza kufahamika jina lak...
Mrembo huyo akiwa kwenye gari.
MREMBO mmoja
ambaye hakuweza kufahamika jina lake mara moja, amejikuta katika wakati
mgumu baada ya kuvuliwa nguo kisha kupigwa na madereva bodaboda.Tukio hilo lililovuta umati wa watu lilitokea juzikati maeneo ya Sinza Makaburini, jijini Dar wakati mrembo huyo akiwa na mpenzi wake ikidaiwa kuwa walitokea katika nyumba ya kulala wageni.