Si kila Unayemkuta Kijijini ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na wajukuu zake jembe na Edo ...


Si kila Unayemkuta Kijijini
ni mshamba wengine wanajua na wanaweza kuliko wewe. Mzee Mbunda na
wajukuu zake jembe na Edo Madirector Kutoka mjini wanaingia kijijini na
kuwa na maisha ya kimbulu yaani Paka liloshindikana ila wnakwaa visiki
baada ya kukutana na wanakijiji wanajua zaidi yao
Pata Filamu hii ya Kimbulu
Kupitia Mtandao Taarifa nzuri zaidi ni kwamba Filamu zote za Kiswahili
unaweza Kuzipata kupitia mtandao au ukaziangalia kupitia mtandao au
kununua pia popote pale duniani
Tembelea Tovuti hii kwa kuangalia au kununua filamu hii ya KIMBULU na nyingine nyingi tu.
http://www.proinpromotions.co.tz