Archive Pages Design$type=blogging

OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WA SHULE YA MBEZI, KIMARA

MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan, juzikati wa...

MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan, juzikati waliwaliza machozi ya furaha walimu wao wa shule ya Mbezi High School iliyopo Kimara walikosoma, baada ya kufika ghafla kwa ajili ya kuwasalimia.


MSANII nyota wa Bongo Fleva Omar Nyembo ‘Ommy Dimpoz,’ na mshindi wa shindano la Big Brother Afrika 2014, Idris Sultan, wakisalimiana na walimu wao.

Dimpoz alimaliza kidato cha nne mwaka 2009 wakati Sultan alifanya hivyo mwaka juzi na ujio wao ulileta bashasha kubwa kwa walimu na wanafunzi waliowalaki kwa furaha na kupiga nao picha pamoja na kumtaka mkali huyo wa kibao cha Me and You kuwaimbia kidogo, kitu ambacho alikifanya.



...Wakiongea na wanafunzi wa shule hiyo.

“Tuliamua kwenda shuleni baada ya kugundua kuwa wote tulisoma pale, nilikutana na walimu walionifundisha pamoja na baadhi ya wafanyakazi, hii ilitufariji sana. Tumekubaliana kwamba wakati wa mahafali yao tutakuwa tukifika ili kuwapa sapoti kama wakati huo tutakuwa tupo hapa mjini,” alisema Dimpoz, ambaye anafanya vizuri katika muziki huo wa kizazi kipya.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WA SHULE YA MBEZI, KIMARA
OMMY DIMPOZ, IDRIS WAWALIZA WALIMU WA SHULE YA MBEZI, KIMARA
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM8BWp5GrGFR5THN9nK5cvP8QNNr5MxhYsRkTxb_qgsdtZ54S3DjxvOLNp1CPjHcXC_XwI4HkeEKOKbX-eM_E1M69XT7u2FWLq6Gpi1g15u_T-ChQESWyTJ_HQitHitCHMAePQmQg5qyLR/s1600/4.JPG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgM8BWp5GrGFR5THN9nK5cvP8QNNr5MxhYsRkTxb_qgsdtZ54S3DjxvOLNp1CPjHcXC_XwI4HkeEKOKbX-eM_E1M69XT7u2FWLq6Gpi1g15u_T-ChQESWyTJ_HQitHitCHMAePQmQg5qyLR/s72-c/4.JPG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/ommy-dimpoz-idris-wawaliza-walimu-wa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/ommy-dimpoz-idris-wawaliza-walimu-wa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago