Archive Pages Design$type=blogging

ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU

MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa ye...

MCHEZA filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’, amedai kuwa mwanaume ambaye anaweza kumuoa jambo la kwanza lazima atambue kuwa yeye anafanya filamu kwa muda mrefu hivyo hawezi kuacha kazi yake kwa sababu ya kuingia kwenye ndoa.

Mcheza filamu za Kibongo Jennifer Kyaka ‘Odama’.

Odama alifungua kinywa chake baada ya kuzungumza na paparazi wetu, ambapo alidai kuwa haiwezi kutokea kuacha kufanya filamu ili amridhishe mwanaume kwani maisha yake yamekuwa yakiendeshwa na kazi hiyo kwa muda mrefu.

“Naamini kuwa yule ambaye atakuja kwa nia ya kunioa kwanza lazima atambue kuwa nafanya filamu, sitahitaji anieleze jambo la kuacha kazi yangu, mimi ni mwanamke ambaye nahitaji kupata maendeleo kupitia kazi zangu,” alisema.
Na Laurent Samatta/GPL

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU
ODAMA: NDOA HAITANIFANYA NIACHE FILAMU
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRvdE2fhPnZfOGhjh2VAzk_aVval-vmEMyIyvgUz0QH8rQ8fCN0WoMLKf09qU94LnI7mse9COtBq1UI9XeuSV4jAuTiecOqQRVCaAZEF17TI7esFUqHlY0ygDKa6rgPeSB7zKteQmGNo__/s1600/odama2.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiRvdE2fhPnZfOGhjh2VAzk_aVval-vmEMyIyvgUz0QH8rQ8fCN0WoMLKf09qU94LnI7mse9COtBq1UI9XeuSV4jAuTiecOqQRVCaAZEF17TI7esFUqHlY0ygDKa6rgPeSB7zKteQmGNo__/s72-c/odama2.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/odama-ndoa-haitanifanya-niache-filamu.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/odama-ndoa-haitanifanya-niache-filamu.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago