Archive Pages Design$type=blogging

MAPAJA YA JACK YAZUA TAFRANI

MAPAJA ya staa wa Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dustan ‘Jack Maish...



MAPAJA ya staa wa Shindano la Maisha Plus Season 2, Jacqueline Dustan ‘Jack Maisha Plus’ yamezua tafrani baada ya wanaume wakware kumsimamia na kumshangaa kutokana na kuvaa nguo fupi iliyomuacha mtupu mapajani.
Kwa mujibu wa chanzo, tukio hilo lililowafanya watu washindwe kuendelea na shughuli zao kwa muda lilitokea juzikati katika mgahawa maarufu wa Cape Town Fish Market uliopo Msasani jijini Dar ambapo staa huyo alipoona watu wanazidi kumkodolea macho, aliamua kutimka.
“Nilikwenda na kustarehe na marafiki zangu ambao nilikuwa siko nao muda mrefu hapa nchini, sasa nikashangaa ghafla watu wamenizunguka wanahangaikahangaika hadi shughuli za watu hotelini hapo zikawa haziendi vizuri, nikatoka nduki,” alisema Jack.

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: MAPAJA YA JACK YAZUA TAFRANI
MAPAJA YA JACK YAZUA TAFRANI
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNE54q23LQCZJLx26f5y2oz5bvMlEOk2DrPCiSigPqxOLK9uH-uUv2JM6wTHX9fHk3sg6tQOO5kbdHY9RcBPQvoWT4v6M9az38Wn7PBp5V4JLLALPjpaL_F59AcezgLGJoe9WMRNRHgOPU/s1600/JACKDASTAN.PNG
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgNE54q23LQCZJLx26f5y2oz5bvMlEOk2DrPCiSigPqxOLK9uH-uUv2JM6wTHX9fHk3sg6tQOO5kbdHY9RcBPQvoWT4v6M9az38Wn7PBp5V4JLLALPjpaL_F59AcezgLGJoe9WMRNRHgOPU/s72-c/JACKDASTAN.PNG
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/mapaja-ya-jack-yazua-tafrani.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/mapaja-ya-jack-yazua-tafrani.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago