Archive Pages Design$type=blogging

AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA KUWA KAMA MTOTO WAKE!

Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake. MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekan...



Msanii wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ akimkumbatia paka wake.

MSANII wa filamu Bongo, Sabrina Poshi ‘Amanda’ ameonekana kama anajipoza machungu kwa kugeuza paka kuwa kama mtoto wake kwa kumpakata na kumtunza kama binadamu.

Akipiga stori na gazeti hili, Amanda alisema amefikia hatua hiyo kutokana kwa sababu anapenda sana watoto hivyo kwa kuwa hajajaliwa kuwapata ndiyo maana ameamua kumtunza paka huyo mdogo mwenye miezi miwili ambapo anampa mahitaji muhimu ikiwa ni pamoja na kumpakata kama mtoto.

“Jamani haka ndiyo kabebi kangu ninakapenda sana na kakipigwa huwa naumia mno, ni ka kike kana miezi miwili, huwa kananifariji sana ila soon tu namuomba Mungu atakuja orijino kabisa,” alisema Amanda

COMMENTS

Name

Burudani Habari Hot News Magazeti Majuu Michezo Teknolojia/Movie Track (Audio & Video)
false
ltr
item
Tabasam Blog: AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA KUWA KAMA MTOTO WAKE!
AMANDA AJIPOZA MACHUNGU NA PAKA KUWA KAMA MTOTO WAKE!
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNTmaEB9Y4qgJXL25K9DI1Vs6Yi61DiwutfZlYtN1fGpwA3YUXVlNGhPg-Sfnsuo0ZhQd52KZjdWaSjkf0RUn6rUnUo3AMEX02I7f_UGBRndRPbssEPRdztewilmZLg75Onc8RXEACuZNs/s1600/IMG20150121WA0002.jpg
https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjNTmaEB9Y4qgJXL25K9DI1Vs6Yi61DiwutfZlYtN1fGpwA3YUXVlNGhPg-Sfnsuo0ZhQd52KZjdWaSjkf0RUn6rUnUo3AMEX02I7f_UGBRndRPbssEPRdztewilmZLg75Onc8RXEACuZNs/s72-c/IMG20150121WA0002.jpg
Tabasam Blog
https://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/amanda-ajipoza-machungu-na-paka-kuwa.html
https://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/
http://tabasmtza.blogspot.com/2015/01/amanda-ajipoza-machungu-na-paka-kuwa.html
true
939923276739022787
UTF-8
Not found any posts VIEW ALL Readmore Reply Cancel reply Delete By Home PAGES POSTS View All RECOMMENDED FOR YOU LABEL ARCHIVE SEARCH Not found any post match with your request Back Home Sunday Monday Tuesday Wednesday Thursday Friday Saturday Sun Mon Tue Wed Thu Fri Sat January February March April May June July August September October November December Jan Feb Mar Apr May Jun Jul Aug Sep Oct Nov Dec just now 1 minute ago $$1$$ minutes ago 1 hour ago $$1$$ hours ago Yesterday $$1$$ days ago $$1$$ weeks ago more than 5 weeks ago