Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Staa wa Bongo,Wema Sepetu 'Madam' akishirikiana na wigizaji wa Gh...
Hizi ni baadhi ya picha za ndani ya movie mpya ya mwigizaji Staa wa Bongo,Wema Sepetu 'Madam' akishirikiana na wigizaji wa Ghana, Van Vicker inayoitwa Day After Death (D.A.D).
Madam ametua leo hapa Bongo akitokea nchini Ghana ambako kazi hii imefanyika kule.
Tusubiri mzigo wenyewe!!!.